Mchana wa leo kulikuwa na tukio la uzinduzi wa ,ujenzi wa
uwanja mpya wa ndege,tukio lililofanyika jirani
na uwanja wa sasa wa Mwalimu
Nyerere,tukio lilisimamiwa na mheshimiwa
raisi ,Jakaya Kikwete
pamoja na viongozi mbali mbali wa nchi,nilialikwa kutoa
burudani na hivi
ndivyo ilivyokuwa katika picha.